Raia wa Uchina adai kulaghaiwa na mshirika wake wa humu nchini

  • | KBC Video
    61 views

    Mwekezaji wa Uchina humu nchini anatafuta haki kufuatia mkataba wa biashara uliotumbukia nyongo. Gui Panpan, anadai alilaghaiwa na Mkenya katika biashara inayohusisha usafirishaji wa nyama ya mbuzi kuelekea nchini Saudi Arabia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News