Raila adokeza huenda akawania uchaguzi 2027

  • | KBC Video
    244 views

    Aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ametoa ishara kwamba huenda akawania urais kwa mara nyingine kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza wakati wa mazishi ya kanali mstaafu James Gitahi, mumewe Seneta maalum Betty Montet, Raila hata hivyo alisisitiza kwamba lengo lake kuu kwa sasa ni kuangazia masuala yanayowaathiri wakenya kama yalivyoorodheshwa kwenye mkataba wa makubalino na serikali, ila hakujiondoa kutoka uwaniaji wa urais kwenye uchaguzi mkuu ujao. Haya yanajiri huku mfanyibiashara SK Macharia akidai kwamba chaguzi zilizopita zilishuhudia udanganyifu kumnyima Raila ushindi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive