Raila aisuta serikali kufuatia msururu wa visa vya utekaji nyara

  • | K24 Video
    603 views

    Mgombea wa kiti cha uenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika Raila Odinga ameisuta serikali kufuatia msururu wa visa vya utekaji nyara. Odinga ametaja matukio hayo kama aibu kwa serikali na kutaka yakomeshwe mara moja. Odinga aliyezungumza katika ibada ya krismasi kaunti ya siaya anasema deokrasia ya taifa ipo hatarini iwapo utekaji nyara utazidi .