Raila apata wakati mgumu kuhutubia wakaazi katika kaunti ya Kisii baada ya wananchi kuzua vurugu

  • | K24 Video
    384 views

    Kinara wa ODM Raila Odinga amepata wakati mgumu kuhutubia wakaazi katika kaunti ya Kisii baada ya wananchi kuzua vurugu, huku wakinuua mabango na kuimba nyimbo za kumkataa pamoja.vijana walionyesha peupe kutoridhishwa na uamuzi wa Raila Odinga kufanya mkataba wa ushirikiano na rais William Ruto. Juhudi za gavana wa Kisii Simba Arati kutuliza vijana hao waliomkataa hadharani kinara wa chama chake hazikufua dafu