Raila anawania kiti cha mwenyekiti AUC

  • | Citizen TV
    7,617 views

    Zimesalia siku mbili kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika na naibu wake kufanyika mjini Addis Ababa nchini Ethiopia