- 342 views
kiongozi wa ODM Raila Odinga amesema kuwa ugatuzi umo katika hatari kubwa ya kuporomoka kutokana na serikali kuu kuchelewa kusambaza mgao wa fedha. Akizungumza Nairobi, Raila anasema kuwa magavana wanashindwa kutekeleza majukumu yao ya msingi kutokana na uhaba fedha ambazo zinatakiwa kutoka kwa hazina kuu. Matamshi ya Raila yanajiri wakati magavana wengi wakilalamika kuwa huduma nyingi katika kaunti zimesimama kutokana na kucheleweshwa kwa fedha kutoka kwa serikali kuu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Raila asema kuwa ugatuzi huenda kuporomoka kutokana na serikali kuchelewa kusambaza mgao wa fedha
- 15 Nov 2024 - As African Nations push for more funding at the ongoing 2024 UN Climate Change Conference (UNFCCC COP 29) in Baku, Azerbaijan, Environment Principal Secretary (PS) Dr. Festus Ngeno has warned against misuse of climate change funds.
- 15 Nov 2024 - Kirinyaga Woman Representative Njeri Maina has called for respect for the clergy’s right to express their views, amid heightened tensions between the church and President William Ruto's government.
- 15 Nov 2024 - Kidawa Tutu, daughter to legendary Jazz Artiste Juma Tutu, presents the "Letters to Loved Ones" event set to take place at Elewa Creative Hub on November 16th. The event promises an intimate evening of live performances that will explore themes of…
- 15 Nov 2024 - Kenya Met in its weekend advisory also listed counties to experience cold nights and hot days.
- 15 Nov 2024 - The disruptions are set to impact the movement of motorists and goods in Kenya's capital.
- 15 Nov 2024 - Azimio leader Raila Odinga has condemned the Members of Parliament for attempting to get powers to determine the revenue allocation shared to counties through a bill tabled before the House.
- 15 Nov 2024 - COP29: TotalEnergies chief defends oil's climate 'progress'
- 15 Nov 2024 - Femicide is not homicide: Urgent, specific actions need to be taken
- 15 Nov 2024 - Forum confronts rising temperature data amid high global stakes
- 15 Nov 2024 - Setback as Africa calls for trillions for mitigation efforts