Raila asema yuko tayari kwa uchaguzi wa AUC

  • | Citizen TV
    11,072 views

    Mgombea wa kiti cha tume ya afrika raila odinga anafanya kampeni za lala salama kabla ya uchaguzi huo kufanyika siku ya jumamosi jijini Addis Ababa Ethiopia