Raila aungwa mkono kuwania uenyekiti wa AU baada ya Mong’are kuandika kitabu

  • | NTV Video
    718 views

    Azma ya kinara wa ODM Raila Odinga kuwania uenyekiti wa muungano wa Afrika imepata jeki hapa nchini baada ya aliyekuwa seneta wa Nyamira Kennedy Okong’o Mong’are kukiandika kitabu kinachoangazia weledi wake

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya