Raila Odinga akashifu serikali ya Ruto kwa kuteka nyara vijana wa Kenya

  • | Citizen TV
    9,226 views

    Waziri Mkuu Wa Zamani Raila Odinga Ameikashifu Serikali Kwa Hulka Mpya Ya Utekaji Nyara Ambayo Imechipuka Tena Nchini Akisema Tabia Hiyo Imepitwa Na Wakati. Akizungumza Alipohudhuria Ibada Ya Krismasi Kaunti Ya Siaya, Raila Alilalamikia Namna Ambavyo Familia Zimeachwa Na Huzuni Bila Kujua Waliko Wapendwa Wao Waliotekwa Nyara Na Maafisa Wa Polisi. Haya Yanajiri Huku Viongozi Wa Upinzani Nao Wakiongzwa Na Kinara Wa Wiper Kalonzo Musyoka, Pia Wakiikashifu Serikali Kwa Visa Hivyo