Raila Odinga amuomboleza mlinzi wake wa zaidi ya miongo mitatu George Oduor

  • | Citizen TV
    6,685 views

    Jumbe za rambirambi zinaendelea kutolewa kwa jamaa na marafiki wa msaidizi na mlinzi wa zaidi ya miongo mitatu wa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, George Oduor kufuatia kifo chake hapo jana.