Raila Odinga asema atalihutubia taifa baada ya kushindwa uchaguzi AUC

  • | Citizen TV
    3,064 views

    Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga sasa anasema atalihutubia taifa wiki ijayo kuhusu hatua yake ya kisiasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa auc uliokamilika mjini Addis Ababa, Ethiopia.