Rais aanza ziara ya siku tano katika kaunti za Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    1,661 views

    Rais William Ruto amewataka wapinzani wake kutafuta sera kwanza kabla ya kushindana naye, akisema kwa sasa upinzani unapiga kelele tu