Skip to main content
Skip to main content

Rais aendeleza ziara ya kikazi Magharibi ya nchi

  • | KBC Video
    649 views
    Duration: 3:05
    Rais William Ruto kwa mara nyingine tena ametoa wito kwa Wakenya kujiepusha na siasa za ukabila na migawanyiko, akisema mabadiliko ya taifa hili yatapatikana tu kupitia umoja na maendeleo. Akizungumza katika kaunti ya Busia wakati wa siku ya pili ya ziara yake ya kikazi katika eneo la Magharibi mwa Kenya, Ruto alisema serikali jumuishi aliyoibuni kwa ushirikiano na aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odinga inadhamiria kuwaunganisha Wakenya wote. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive