Rais akiri polisi wanatumia nguvu kupita kiasi

  • | Citizen TV
    12,416 views

    Rais William Ruto amekiri kwamba asasi za usalama zimetumia nguvu kupitia kiasi na kutekeleza unyama dhidi ya wakenya. Kwenye Ujumbe wake wa mwaka mpya, Rais ilionekana kuzungumzia visa vya utekaji Nyara ambavyo vimekuwa vikiendelea na ambavyo vilisababisha maandamano ya Jumatatu na kukashifiwa na viongozi mbalimbali. Rais Ruto amesema uchunguzi unaendelea na maafisa wa polisi watakaopatikana na hatia watachukuliwa hatua. na kama anavyoarifu Melita Ole Tenges, rais amekashifu utovu wa nidhamu miongoni mwa vijana mitandaoni.