Rais aongoza hafla ya kuzindua jiji la Eldoret

  • | Citizen TV
    3,751 views

    Mji wa Eldoret kaunti ya Uasin Gishu hii leo unazinduliwa kuwa jiji la tano humu nchini. Shughuli hiyo inafanyika katika uwanja wa michezo wa Sports Club mjini eldoret. Rais William Ruto anaongoza hafla hiyo inayohudhuriwa na viongozi wengine wa serikali. tusikilize