Rais asema ana uhusiano mwema na watu wa Mlima Kenya

  • | KBC Video
    1,933 views

    Rais William Ruto amesisitiza kwamba uhusiano mwema baina yake na watu wa eneo la Mlima Kenya wa zaidi ya miongo miwili ungalipo, akiwaomba wakazi kutoyumbishwa na wakosoaji wa serikali. Ruto ambaye alikuwa mjini Maua kaunti ya Meru alisifia miradi kadhaa ya maendeleo ambayo serikali imetekeleza kwenye eneo hilo akiahidi kuendelea kutimiza ahadi zake. Rais aliwasuta wafanyabiashara laghai wa miraa akisema watachukuliwa hatua za kisheria. Ripota wetu Abdiaziz Hashim ana mengi ya kupwa na ya kujaa kuhusiana na ziara ya rais eneo la Mlima Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News