Rais asisitiza uhuru wa kuabudu, kwamba seneti haifai kuingilia kati njia ya kuabudu

  • | NTV Video
    348 views

    Rais William Ruto bado yuko kimya kuhusiana na mashtaka ya Naibu wake Rigathi Gachagua, siku chache baada ya suala hili kufikishwa bungeni. Katika ibada ya kanisani ya Jumapili ilyofanyika eneo la Milimani hapa Nairobi, Rais aliukwepa mjadala huo badala yake akazungumzia udhibiti wa madhehebu. Rais alisisitiza uhuru wa kuabudu, na kwamba seneti haifai kuingilia kati.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya