Rais atakiwa kusikiliza

  • | NTV Video
    492 views

    Viongozi wa Mashirika ya Kijamii wanamtaka Rais William Ruto kuwajibika na kuhakikisha ametekeleza masuala ambayo yamejitokeza kutokana na maadamano dhidi ya mswada wa Fedha wa 2024 ulitupilia mbali. Zaidi viongozi hao wamekashifu utekaji nyara na kutiwa mbaroni kiholela na pia matumizi ya nguvu kupita kiasi kutoka kwa polisi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya