Rais atembelea mitaa ya Nairobi kwa siku ya tatu

  • | KBC Video
    62 views

    Rais William Ruto amesema kuwa ataongoza katika kuunganisha mirengo yote ya kisasa, maeneo na jamii ili kuimarisha umoja humu nchini. Alitetea mkataba baina ya vyama vya UDA na ODM akisema haukunuiwa kumnufaisha mtu binafsi ila kufanikisha kukabiliana an changamoto zinazokumba nchi hii. Alizuru maeneo ya Daoretti kusini, Dagoretti kaskazini na Westlands alikozindua miradi mbalimbali yakiwemo madarasa na kituo cha ubunifu wa kidijitali. Mwanahabari wetu Giverson Maina anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive