Skip to main content
Skip to main content

Rais azindua miradi ya maendeleo Malava, Kakamega

  • | KBC Video
    210 views
    Duration: 4:08
    Rais William Ruto amewakosoa wapinzani kwa kile alichokitaja kama maneno matupu yasiyo na maana badala ya kutoa mwelekeo wa kuaminika kushindana na mpango wa maendeleo wa serikali yake. Akizungumza wakati wa ziara ya maendeleo katika eneo la Malava, kaunti ya Kakamega, Ruto alisema bado ananuia kutimiza ahadi yake ya maendeleo, lakini akaonya upinzani kujiandaa kwa ushindani mkali wa kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive