Rais Bush alipotupiwa kiatu

  • | BBC Swahili
    4,170 views
    Mnamo mwaka 2008, mwandishi wa habari wa Iraq, Muntadhar al-Zaidi, alimtupia kiatu aliyekuwa Rais wa Marekani George W. Bush , kama ishara ya kupinga uvamizi wa Marekani nchini Iraq. - Bush Alikuwa katika miezi yake ya mwisho kama rais, huku Barack Obama akijiandaa kuchukua madaraka. - #bbcswahili #marekani #iraq Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw