Rais Dkt William Ruto awataka Wakenya kususia maandamano kwani viongozi wanajadiliana

  • | West TV
    114 views
    Siku moja tu baada ya kinara wa Azimio Raila Odinga kutangaza kuwa mrengo wake utarejelea maandamano, Rais William Ruto amejitokeza na kupinga wazo la kuendeleza maandamano akiwataka viongozi kuungana na serikali yake kuwafanyia wakenya maendeleo.