Rais Dkt William Ruto na Raila Odinga wapongezwa kwa kukubali mdahalo

  • | West TV
    29 views
    Siku moja tu baada ya Rais William Ruto na Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga kuafikiana kukubali mdahalo ili kutatua baadhi ya matatizo yaliyopelekea maandamano, sasa baadhi ya viongozi kutoka mirengo yote miwili wamejitokeza na kuwapa pongezi kwa hatua hiyo.