Rais Donald Trump aiondoa Marekani kwa shirika la WHO

  • | Citizen TV
    9,263 views

    Rais Wa Marekani Donald Trup Amesitisha Misaada Kutoka Marekani Kwa Nchi Za Kigeni Muda Mchache Baada Ya Kuapishwa, Akisema Kwamba Sera Zilizokuwa Chini Ya Utawala Wa Rais Joe Biden Haziafikiani Na Azma Yake Kama Rais Wa 47 Wa Nchi Hiyo.