Rais mstaafu Kenyatta ataka viongozi wa taifa kuwa wepesi wa kusikiza wananchi

  • | K24 Video
    1,461 views

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ametaka viongozi waliopewa hadhi ya kuongoza taifa kuwa wepesi wa kusikiza matakwa ya wananchi. Uhuru alizungumza akiwa katika ibada ya kanisa kaunti ya meru. Rais huyo mstaafu alikwepa kuongea siasa huku akitaka kutosita katika ari yao ya kulikosoa kanisa na viongozi nchini.