Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ayataka makanisa kuliombea taifa

  • | Citizen TV
    4,665 views

    Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ameyataka makanisa kuliombea taifa huku akiwataka viongozi kusikiliza kwa makini malalamishi ya wakenya.