Rais Ruto aendelea ziara yake Mlima Kenya na kusisitiza watazingatia maendeleo na kugeuza uchumi

  • | NTV Video
    759 views

    RAIS WILLIAM RUTO ameendelea kupigia debe serikali mpya ya umoja katika eneo la mlima Kenya huku akisema kuwa itadhibiti uchochezi na kuiwezesha nchi kuzingatia maendeleo na kufanikisha mageuzi ya kiuchumi. Naibu rais Rigathi Gachagua alimuunga mkono rais na kusema kwamba yuko tayari kufanya kazi na timu mpya.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya