Rais Ruto ahudhuria mazishi ya aliyekuwa waziri, John Koech

  • | KBC Video
    88 views

    Rais William Ruto ametetea halmashauri ya afya ya jamii huku akiwataka Wa-Kenya kupuuzilia mbali kile alichokitaja kuwa "propaganda" na badala yake kukumbatia mpango wa afya kwa wote. Akiongea wakati wa mazishi wa waziri wa zamani, John Koech katika kaunti ya Bomet, Rais Ruto alielezea kuhusu hatua zilizopigwa tangu kuanzishwa kwa mpango huo. Rais alisema Zaidi ya Wa-Kenya milioni 21 tayari wamejizajili kwenye halmashauri ya SHA, huku wengine 47,000 wakijisajili siku ya jumatatu pekee na watanufaika na matibabu bila malipo katika vituo vya afya pamoja na hospitali za kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive