Rais Ruto akamilisha ziara yake ya siku tano Nairobi

  • | KBC Video
    429 views

    Rais William Ruto ameagiza kusitishwa kwa shughuli ya kuwafurusha watu kutoka kwenye ardhi ya umma hadi pale familia zilizoathirika zitakapopewa makazi mbadala. Akizungumza mwishoni mwa ziara yake jijini Nairobi katika maeneo ya Kasarani, Embakasi magharibi na Makadara kiongozi wa taifa alikariri haja ya mbinu za kisheria na kibinadamu za kusuluhisha mizozo wa ardhi. Rais alikariri kwamba watu wote walioondolewa kwenye maeneo ya mito kutokana na mafuriko watakuwa wa kwanza kupewa nyumba chini ya mpango wa serikali wa nyumba za gharama nafuu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive