Rais Ruto akutana na viongozi wa Kanisa la Akorino

  • | KBC Video
    90 views

    Rais William Ruto ametoa wito kwa viongozi wa dini hapa nchini kuwa mstari wa mbele katika kutoa mwongozo wa kimaadili kwa jamii ili kuepuka changamoto zinazochipuka kutokana na utovu wa maadili . Rais aliyekutana leo na viongozi wa Kanisa la Akorino katika Ikulu ya Nairobi,alisema kanisa lina wajibu muhmu wa kutekeleza katika ukuzi wa maadili mema katika jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive