Rais Ruto akutana na viongozi wa magharibi

  • | KBC Video
    259 views

    Rais William Ruto amebainisha kujitolea kwa serikali yake kutekeleza maendeleo kwa usawa,akisema hakuna eneo litabaguliwa.Rais aliyasema haya katika Ikulu ya Nairobi alipokutana na viongozi kutoka Magharibi ya Kenya kukadiria utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo.Mkutano huo unafwatia ziara ya rais ya katika eneo hilo ambapo alizindua miradi kadhaa ya maendeleo.Maelezo zaidi ni katika taarifa yake Ben Chumba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive