Rais Ruto akutana na wanawake kutoka eneo bunge la Mathira

  • | Citizen TV
    1,186 views

    Rais William Ruto Alianza Siku Yake Ya Tatu Ya Ziara Ya Eneo La Mlima Kenya Na Mkutano Wa Wanawake Kutoka Katika Eneo Bunge La Mathira Kaunti Ya Nyeri, Ambayo Ni Ngome Ya Aliyekuwa Naibu Wake Rigathi Gachagua.