Rais Ruto amekutana na marais 6 wa Afrika jijini Beijing

  • | Citizen TV
    1,681 views

    Huku kampeini za kumtafutia Raila Odinga uungwaji mkono katika azma yake ya kuongoza tume ya umoja wa Afrika zikishika kasi, Rais William Ruto leo alikutana na marais sita wa afrika akiwa nchini uchina.