- 169 viewsRais wa Kenya leo emetetea kodi ya juu ambayo serikali imeweka, akisema hatua nzuri ya kujitolea kulisaidia taifa kushughulikia deni la kigeni ambalo sasa ni dola bilioni 70. Akizungumza katika sherehe za kuadhimisha miaka 60 ya uhuru tangu Kenya kupata uhuru wake kutoka kwa Mwingereza, rais William Ruto amesema uchumi mkubwa wa taifa hilo la Afrika mashariki hauko tena katika hatari ya kuwa na malipo ya bond kufuatia mageuzi ya kiuchumi ambayo serikali yake imefanya. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Rais Ruto amesema mageuzi ya kiuchumi yameisaidia Kenya kukabiliana na deni lake la dola bilioni 70
- - Suagar Boy ››
- 30 Nov 2024 - The finance chief of India's Adani Group on Friday rejected U.S. allegations that executives, including Chairman Gautam Adani, were part of a Ksh.34 billion bribery scheme, while the Indian government said it has not received any U.S. request on the…
- 30 Nov 2024 - Disaster response teams coordinated by National Government Administration have begun evacuating over 240 households affected by the ongoing floods.
- 30 Nov 2024 - European and American carmakers are set to lose up to 17 per cent of their combined annual core profits if the U.S. imposes import tariffs on Europe, Mexico and Canada, S&P Global said in a report on Friday, warning of potential credit downgrades.
- 30 Nov 2024 - The Sambaza Furaha na Safaricom caravan was on Friday in its fifth day this week traversing the areas of Homa Bay, Rodi Kopany, Rongo, and Awendo.
- 30 Nov 2024 - Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
- 30 Nov 2024 - State embarks on door-to-door drive to shore up SHA registration
- 30 Nov 2024 - Parents shocker as State stops student mid-year transfers
- 30 Nov 2024 - Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
- 30 Nov 2024 - Kura under scrutiny for paying Sh687m for incomplete projects
- 30 Nov 2024 - NHIF staff receive redeployment letters