Rais Ruto ametangaza mipango maksusi ya kudhibiti deni la kitaifa

  • | KBC Video
    44 views

    Rais William Ruto ametangaza mipango maksusi ya kudhibiti deni la kitaifa. Ruto amebuni jopo huru ambalo litakagua kiwango cha deni la kitaifa katika muda wa miezi mitatu. Akihutubia taifa kutoka Ikulu ya Nairobi, kiongozi wa taifa alisema mazungumzo yataangazia masuala muhimu ya kitaifa yasioegemea ukabila. Katika hotuba yake, Ruto pia alisema mashirika-47 ya serikali yatavunjiliwa mbali. Rais pia amesitisha uteuzi wa makatibu waandamizi huku idadi ya washauri serikalini ikipunguzwa kwa asilimia-50.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News