- 215 viewsDuration: 3:57Rais William Ruto amekariri dai la bara Afrika la nyadhifa mbili za kudumu na nyadhifa nyingine mbili zisizo za kudumu katika baraza la usalama la umoja wa mataifa zenye istihaki na haki kamili. Akitoa hotuba kwa niaba ya mataifa ya bara Afrika katika kongamano la pili la kimataifa la maendeleo ya kijamii linaloendelea jijini Doha Qatar, Rais Ruto alisema nyadhifa hizo za kudumu katika baraza hilo la kimataifa zitasaidia kupasa sauti za wale wanaoishi katika ufukara barani Afrika pamoja na kuhakikisha wanawakilishwa kwa haki ipasavyo katika taasisi za kimataifa. Huyu hapa ni ripota wetu Abdiaziz Hashim na maelezo kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive