Rais Ruto aongoza kikao cha baraza la mawaziri kujadili mikakati ya kudhibiti mafuriko

  • | Citizen TV
    366 views

    Rais William Ruto ameongoza kikao cha baraza la mawaziri kujadili mikakati zaidi ya kudhibiti athari za mafuriko nchini. Rais amesema kuwa serikali tayari imeweka mikakati kabambe ya kuhakikisha kuwa waathiriwa wa mafuriko wanashughulikiwa. Aidha rais amesema kuwa vituo vya dharura vimewekwa na kuwataka wanaoishi maeneo hatari kuhama.