Rais Ruto aongoza taifa kuhadhimisha siku kuu ya krismasi

  • | K24 Video
    110 views

    Rais William Ruto hii leo aliongoza taifa kuhadhimisha siku kuu ya krismasi, akihudhuria ibada ya sikukuu ya krismasi eneo la Olpisiai kaunti ya Narok, Ruto amewataka wakenya kuwa waangalifu msimu huu wa krismasi huku akishikilia kuwa sharti mifugo wachanjwe dhidi ya magonjwa mbali mbali. Ruto pia amedokeza kuwa serikali yake itafanya kila juhudi kuhakikisha kuwa uchumui unaimarika hasa kupitia sekta ya kilimo.