Rais Ruto apiga hesabu za kisiasa Kibra na Lang'ata, akifanya ushirikiano na ODM

  • | NTV Video
    3,128 views

    Rais William Ruto anapiga hesabu za kimakusudi kisiasa katika ngome za upinzani. Katika siku ya nne ya ziara ya maendeleo jijini Nairobi, Kiongozi wa nchi alikita kambi maeneobunge ya Kibra na Lang'ata - sehemu ambazo huunga mkono Kiongozi wa ODM Raila Odinga - akitumia ushirikiano wa UDA na ODM kuongeza saruji katika mhimili wake wa kisiasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya