Rais Ruto arai wazazi kuwaelimisha wana wao

  • | Citizen TV
    1,793 views

    Rais William Ruto ameendelea kuwarai wazazi na jamii kwa jumla kuwaelimisha vijana kuhusu maadili. Kulingana naye, wengi wamepotoka na ndiyo maana wamejaza matusi kwenye mitandao ya kijamii . Rais alikuwa akizungumza alipofungua chuo cha mafunzo ya utabibu, bewa la Kerio Valley kaunti ya Elgeyo Marakwet.