Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto asema atatimiza ahadi kwa wakazi wa Mlimani

  • | KBC Video
    155 views
    Duration: 4:16
    Rais William Ruto amesema enzi ya siasa za ukabila kwa minajili ya kuwatajirisha baadhi ya watu imepitwa na wakati. Akizungumza katika ikulu ya Nairobi, baada ya kukutana na viongozi na wakazi kutoka kaunti ya Murang’a, rais alitumia fursa hiyo kuwazomea wapinzani, akiwashtumu kwa kupanda mbegu za mgawanyiko ili kuupaka utawala wake tope. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News