Rais Ruto asema hana majuto kuhusu michango anayotoa kanisani

  • | K24 Video
    64 views

    Rais William Ruto sasa anasema hana majuto kuhusu michango anayotoa kanisani. Haya yanajiri baada ya michango yake kurejeshwa na makanisa ya katoliki na anglikana. Rais akidai michango sio ya makasisi. Akizungumza katika kaunti ya Uasin Gishu katika ibada rais Ruto amezidi kukashifu wapinzani wanaopinga mikakati yake ya juhudi za kuchanja mifugo akidai kuwa chanjo hiyo inatoka humu nchini kinyume na dhana inayoenezwa na baadhi ya wapinzani wake.