Rais Ruto asema utalii utazalisha zaidi ya shilingi bilioni 80

  • | Citizen TV
    459 views

    Rais William Ruto amesema kuwa serikali imeweka mikakati ya kuiuza kenya ili kuongeza idadi ya watalii kufikia milioni tano na kuongeza kipato kwa shilingi bilioni 80.