Rais Ruto asema wakosoaji wake wameingiliwa na mapepo

  • | Citizen TV
    3,779 views

    Rais William Ruto hii leo amesema kwamba baadhi ya Wanasiasa na Wakenya Katika Mitandao ya Kijamii wameingiliwa na mapepo ya kuipinga serikali yake bila misingi yoyote wale kujali manufaa ya miradi hiyo ya serikali. Ruto amesema wanaoipinga Serikali hawana suluhu mbadala akisema kwamba kushangilia, kufurushwa kwa Adani hakutazuia ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa JKIA. Ruto pia amekanusha kufanya biashara na mmiliki wa Kampuni ya Devki, kama anavyotuarifu Melita Oletenges .