Rais Williama Ruto ametangaza kuwa, walimu watategewa asilimia 20 ya nyumba za bei nafuu kwa kuzingatia mchango kwa mpango huo. Wakati wa kikao na walimu katika ikuku ya Nairobi, Rais alifichua kuwa, walimu huchangia asilimia 13 ya ada ya nyumba hizo, kiasi ambacho ni sawa na shilingi milioni 900 kwa mwezi, hivyo basi wanapaswa kunufaika kwa mradi huo. Na kama mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anavyotujuza, Ruto ameagiza kustishwa kwa uhamisho walimu
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive