Rais Ruto ataka wapinzane wake wajiandae kupambana naye 2027

  • | K24 Video
    202 views

    Rais William Ruto amewataka vijana wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii kukoma akisema serikali yake haitayumbishwa na wachache wanaomtakia mabaya. Akizungumza katika kaunti ya Uasin Gishu, rais amesema ana mengi ya kujivunia katika serikali yake na amewataka wanaompinga wajiandae vilivyo kwa uchaguzi mkuu wa 2027.