Rais Ruto atarajiwa kuzuru eneo la Mlima Kenya wiki ijayo

  • | K24 Video
    769 views

    Huku Rais William Ruto akitarajiwa kuzuru eneo la Mlima Kenya wiki ijayo, wandani wake wako mbioni kuwashawishi wenyeji kuhakikisha ziara hiyo imefana. Hii leo naibu wa rais Kindiki Kithure pamoja na baadhi ya viongozi wanaomuunga mkono rais wamekuwa katika kaunti ya Murang'a kukagua baadhi ya miradi rais anatarajiwa kuzindua.