Rais Ruto atetea hatua yake ya kuwajumuisha wandani wa Uhuru Kenyatta serikalini

  • | Citizen TV
    5,496 views

    Rais William Ruto Ametetea Hatua Yake Ya Hivi Punde Ya Kuwajumuisha Wandani Wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta Kwenye Serikali Yake, Akisema Lengo Lake Ni Kuunganisha Wakenya Wala Si Mashindano Ya Kisiasa. Akizungumza Katika Kaunti Ya Uasin Gishu Leo Alipohudhuria Ibada, Ruto Alisema Hatarudi Nyuma Kwenye Miradi Tata Ya Serikali Ambayo Inaendelea Kupata Pingamizi.