Rais Ruto atetea kandarasi ya kampuni ya Adani

  • | Citizen TV
    831 views

    Rais William Ruto ametetea mpango wa kutoa kandarasi ya mabillioni ya pesa kwa kampuni ya Adani ili kujenga nguzo za kusambaza umeme nchini.