Rais Ruto atetea mpango wa utoaji chanjo ya mifugo

  • | KBC Video
    236 views

    Rais William Ruto amewapuuzilia mbali wakosoaji wa mpango wa kutoa chanjo kwa mifugo milioni 22 humu nchini, na mipango mingine muhimu ya maendeleo ambayo serikali inatekeleza. Akizungumza baada ya kuzindua miradi kadhaa katika kaunti ya Garissa, Rais alitetea mpango huo wa chanjo, akisema unalenga kuongeza thamani ya bidhaa za mifugo kwa maandalizi ya masoko ya kimataifa. Rais akikariri kwamba siasa za uchaguzi mkuu wa 2027, hazina maana kwa serikali yake, ambayo alisema kwa sasa iko makini kuangazia changamoto zinazowakabili wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive